Je Ni Avatar Gani unayoipenda JF?

Nazikubali nyingi sana, kuzitaja haitoshi.
Binafsi hizi Avartar ndio zinanifanya niwe na naifikiria sana JF.
Ila kwa kuzitaja chache ni ya Asha D na Invisible.
Nadhani ya Asha D naipenda sana sababu ile Movie ya "Avatar" niliipenda sana, afu nilitokea kuvipenda vile viumbe!
Invisible, bado namtafakari huyu mtu.... ananivutia sana.
 

Mkubwa nashukuru kwa kupenda avatar yangu ya zamani ile ilikuwa ya John Cena wa WWE niliitoa baada ya umri kusogea kidogo siunajua mieleka inapendwa na matineja? Anyway siku hizi niko via mobile nikiwa kwenye computer nitairudisha mzee. Kwa sasa nasikitika siwezi kuona za wengi kwa vile strictly via mobile.
 

Haloooooooowwwww! Ya Asha D inatisha, dah ile avatar imekaakaa kuogopeshaogopesha!
 
Avatar ninayoihusudu ni hii ya mheshimiwa Katavi. Yale macho, masikio na ile tabasamu huniacha hoi! Kama Avatar huwa zina expire, mheshimiwa Katavi ya kwako isiwe na expiry date.:dance:
 
Me zote tu ninazokutana nazo, ila kuna moja tu ilinikera kipindi fulani, sijui kama mwenyewe aliibadili....
mi hii yako sometime nakuja jf ili niione tu,
yaani ni kiburudisho cha roho yangu.
 
abdulhalim na inkoskaz,na avatar flani kama paka anatingisha mkia,sikumbuki ni ya nani
 
Avatar ya Katavi inanipaga smile hasa nikiangalia vimashavu,mdomo,na vinywele....lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…