Je Ni Avatar Gani unayoipenda JF?



Dah! jG nimesikitika kua naona hii post baada ya kubadilisha.... Thank you man....
 
Naipenda yangu ya Lion of Judah, Mohammed Shossi, Speaker, Paka nyau Jimmy na Afrodenz
 
Mwenyewe nimesikitika sana....
Dah sijui uirudishe tuuu lol........



Naipenda sa jG... But nilikua napata a lot of complaints...
for you to understand the Avatar inatakiwa uwe umeona the
movie then you would see it from my point of view...
unfortunately wachache wameona let alone understand the movie...

Enways uko poa... got your salamu....
 
Naipenda ya RedDevil, sababu sasahivi dunia tunahamasishwa kufanya mambo ya recycling :dance:
 
Huyu ni mbunifu wengi wameibonyeza ili wamwone akiwa uchi lakini kumbe anawapeleka kwey profile yake................................na wanaJF 2,000 wamekuwa teja kwenye hilo including I.........................................
 
Code:
Dah!! 
mie avatar ya Preta!
Lol.

Kwa kweli ile yaweza kumtoa nyoka pangoni...............................
 

dah pole mkuu ila pouwa mzee ukipata nafasi iweke kidogo kaka
 
Naipenda yangu ya Lion of Judah, Mohammed Shossi, Speaker, Paka nyau Jimmy na Afrodenz

Vuvuzela twende taratibu hapo kwenye RED huyo mwenzio anatumia picha yake halisi, sasa ungefafanuwa ulichopenda ni nini? na si vibaya tukijuwa jinsia yako ili kuondoa mashaka mashaka ya sodoma na gomola.
 
Vuvuzela twende taratibu hapo kwenye RED huyo mwenzio anatumia picha yake halisi, sasa ungefafanuwa ulichopenda ni nini? na si vibaya tukijuwa jinsia yako ili kuondoa mashaka mashaka ya sodoma na gomola.

Enyi mlioamini jiepusheni sana na kuwadhania watu dhana mbaya, kwani kuwadhania watu dhana mbaya ni dhambi. Wala musipeleleze habari za watu. Wala baadhi yenu wasiwasengenye (wasiwaseme) wengine. Jee! Mmoja wenu anapenda kula nyama ya nduguye aliyekufa? Laa hampendi, basi na haya musiyapende. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Bila shaka Mwenyezi Mungu ni mwenye kupokea toba na mwingi wa kurehemu. Suratil Hujuraat aya ya: (12):

Kazi kwako:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…