Je, ni bati zipi bora ukiachana na m-south?

Msouth ni jina tu yaani nickname inayotambulisha aina hiyo ya mabati

IIa hapo hapo kwenye m-south kuna zenye ubora wa juu kama Alaf, kuna zenye ubora wa kawaida kama Sunshare na ubora mdogo
Vipi hizi za TAISHAN ubora wake ukoje
 
Nenda Kafanye Biashara / Kachukue Bati Za Dragon...Hasa Zile Versatile Rough Kuanzia 28G, Ni Og Tupu, ALAF Anamzidi Zaidi Kwenye Marketing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…