Je, ni benki gani inatoa mikopo ya commercial real estate financing?

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
...ninahitaji mkopo kwa ajili ya kujenga jengo la ghorofa 5, Sinza karibu na jengo jipya la psssf, ila sitaji kudhamini jengo hilo kwa kutumia biashara zangu ama kipato kingine nje ya jengo lenyewe kuwa kama dhamana

Je ni bank gani ninaweza kuitumia kupata mkopo wa aina hii?

Natanguliza shukrani
 
Una mawazo mazuri Sana laiti ungelikuwa nayo nyakati za mzee wa msoga yangetimia ila kwa Sasa Bank nyingi hazifinance real estate sababu ya poor return on investment.

Kuporomoka kwa Hali ya kipato kwa watu kumefanya nyumba zisipangishike.

Ukitaka mkopo wa haraka nenda na proposal ya Kilimo bank sababu ni mpya na wakubwa au wafadhili wamefocus ku finance agriculture.
 
TIB walikuwa wanafanya hii, siku hizi wameacha, NMB, CRDB walikuwa nayo, tatizo matapeli wakawa wengi wakaacha,
 
13 mega pixel,
Kuna client namjengea 3 storey office building Dodoma. Financier ni CRDB.. sasa sijui wanfanya arrangement gani, ila ni mkopo jamaa kapewa.

Design jengo lako, andaa feasibility study kujua ROI itachukua muda gani.... only then will lenders atleast listen to you.
 
m mwenyewe naulizia sana hili swala,kunamji namalizia kupima kama heka 50 vitoke viwanja nlitaman sna zijengwe apartment
 

Asante mkuu, CRDB nilienda wanatoa mikopo lakini ambayo siyo ninayotaka nitaenda kucheki na TIB
 
Wewe kaongee na mkurugenzi wa wilaya na kamishna wa ardhi muingie makataba muuze viwanja kwa square meters hata bank wanaweza kukudhamini lakini si kwa wingu jeusi la Sasa la pesa kuwa hakuna
m mwenyewe naulizia sana hili swala,kunamji namalizia kupima kama heka 50 vitoke viwanja nlitaman sna zijengwe apartment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…