Nimekuwa nikitumia akaunti ya kawaida (Savings Account) ya CRDB, kwa sasa naona gharama zimezidi na hata sioni umuhimu wa kuwa na akaunti benki.
CRDB wanatoza 1,000/- kama gharama za kuendesha akaunti kwa mwezi na 600/- kwa kila ninapotoa hela kupitia ATM.
Naomba kujua benki gani inatoza gharama nafuu, maana nahisi nanyonywa.

Jaribu EXIM
Sijui wanasema kuruka nini kukanyaga nini. Mimi ni mteja wa huko unakotaka kimbilia, kwa kifupi ni Hatari hata hivyo kuna faida tuanze na hizo
FAIDA:
1. Hakuna foleni za kukera labda pale Mlimani City tena jumamosi na jumapili
2. Mwingine ataongezea
Hasara:
1. Makato kibao, ukiomba salio, uki-draw kwenye ATM, uki-draw ndani (hapa unapigwa faini pia)
2. Makato makubwa - ku-draw nafikiri ni 750/= halafu kama unataka say 400,000/= inatakiwa ulipe 1,500/= kwani unatoa ktk instalment mbili
3. Kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni hakuna huduma ya ATM services, sijui wanakuwa wanafanya nini?
4. Interest rate nafikiri ni 1.5% ukiwa na 1M and above below that hakuna
5. Service kama nakumbuka ni kama 7,500/= kwa mwezi

wakuu vp makabwera nmb?
Kwangu wakikata patachimbika.
3. Kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni hakuna huduma ya ATM services, sijui wanakuwa wanafanya nini?
Hivi Benki kwanini wanatoza pesa kwa kuweka pesa..?
Nchi nyingine mfano UK.., ukiweka pesa unapewa pesa (interest) na sio kutozwa..
After all Ukiweka pesa benki wanakopesha wengine hivyo wanaifanyia biashara na kupata faida inabidi hio faida wakupe na wewe..
Inabidi kuwa na kitengo cha Consumer Care (ili kibane mabenki na kuepuka huu wizi wa mchana kweupe)
Hata hapa bongo zipo benki nyingi ambazo ukiweka pesa hata kwenye account ya Savings kawaida kila muda fulani unapata interest.
Tatizo lenu mmeshazoea benki zenu hizo 3.
usipate taabu.. Nenda first national bank upate savings akaunt ya ukweli. Yaani mimi hawajawahi kunikata hela yoyote wakati natoa ua kuweka. Hakuna cha monthly charges wala nn na wananiwekea faida(interest) ya kuanzia asilimia 6 nikiwa na shs 50,000 na kuendelea kwenye akaunt. Yaani huwa zinaongezeka tu... Try and u will see.. I advise unimekuwa nikitumia akaunti ya kawaida (savings account) ya crdb, kwa sasa naona gharama zimezidi na hata sioni umuhimu wa kuwa na akaunti benki.
Crdb wanatoza 1,000/- kama gharama za kuendesha akaunti kwa mwezi na 600/- kwa kila ninapotoa hela kupitia atm.
Naomba kujua benki gani inatoza gharama nafuu, maana nahisi nanyonywa.
Sasa si ndo ufunguke uzitaje..na ndio lengo la thread..
Halafu hawa BOT si ndio kaz yao kudhibiti hiz gharama.