Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuu..Tafuta shamba mkuu,itakusaidia, maswala ya kuanzisha biashara na kumkabidhi ndugu ama rafiki utaumia bure
Brilliant idea...Unakaa Chuo Hostel Au?
Mimi Nlijisomesha Kupitia Juice Na Cake,ice Cream
Nlijiiba Nikaingiza Friji Chumba Nacholala Nikawa Nauza Juice ,cake Nlikuwa Napikia Home Kila Weekend
Sikuambii Nlikuwa Na Pesa Sana Kila Siku Kuku Kula,
Ila Pia Unaweza Nunua Printer,photocopy Ndogo Inalipa,kama Wakaa Nje Home Unaweza Tafuta Wadada Wapishi Wanapika We Unachukua Unaenda Na Kijana Mmoja Jioni Usiku Kuwauzia Hostel Inabidi Ufanye Nae Market Mwanzoni Akishajulikana We Unabaki Unasoma Ye Anaenda Uza Analeta Mahesabu