Je, ni biashara gani mwanafunzi wa chuo anaweza kufanya akajikwamua kiuchumi?

Erc cyp

Member
Joined
Apr 10, 2018
Posts
12
Reaction score
4
Habar wakuu

Kutokana na maisha yalivyo kwa sasa ni biashara gani mwanafunzi wa chuo anaweza kuifanya akajikwamua kimaisha?
 
Tafuta shamba mkuu,itakusaidia, maswala ya kuanzisha biashara na kumkabidhi ndugu ama rafiki utaumia bure
 
Tafuta shamba mkuu,itakusaidia, maswala ya kuanzisha biashara na kumkabidhi ndugu ama rafiki utaumia bure
Pamoja sana mkuu..
Hv tukiangalia swala la kulinda mtaji hapo inakuaje? maana shamba ukishaweka mbegu chini hakuna kurud nyuma tena, ndo imetoka hvyo
 
Vyuoni madogo wana changamoto linapokuja swala la kifedha...
Najua huu uzi utakua very useful kwao some day some how..
Itawaongoza kwa namna flan hv..
 
Unakaa Chuo Hostel Au?
Mimi Nlijisomesha Kupitia Juice Na Cake,ice Cream
Nlijiiba Nikaingiza Friji Chumba Nacholala Nikawa Nauza Juice ,cake Nlikuwa Napikia Home Kila Weekend
Sikuambii Nlikuwa Na Pesa Sana Kila Siku Kuku Kula,
Ila Pia Unaweza Nunua Printer,photocopy Ndogo Inalipa,kama Wakaa Nje Home Unaweza Tafuta Wadada Wapishi Wanapika We Unachukua Unaenda Na Kijana Mmoja Jioni Usiku Kuwauzia Hostel Inabidi Ufanye Nae Market Mwanzoni Akishajulikana We Unabaki Unasoma Ye Anaenda Uza Analeta Mahesabu
 
Brilliant idea...
Hapo ni mwanzo tuu watu wakuzoee then unaendelea vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…