Wasiliana na Solomon stock brokers. Kama ukihitaji namba zao naeza nkakupatiaHabari wadau,
Naombeni ushauri na elimu juu ya Brokers wa DSE.
• Je, ni vigezo gani naweza kutumia kutambua ubora wa Broker.
• Kama uliwahi kushiriki katika soko la DSE je, ulitumia Broker gani na kwanini ulimchagua huyo Broker.
Natanguliza Shukrani. Karibuni.
TupatieWasiliana na Solomon stock brokers. Kama ukihitaji namba zao naeza nkakupatia
0764 269 090Tupatie