safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa muda sana hii biashara na kuwauliza wadau mbali mbali.
Kwa bahati mbaya sana nimekuwa nikikutana na watu ambao naweza kusema hawajaijua vizuri hii biashara.
Nilishawahi kukutana na mtu akaniambia kwamba yeye anawekeza kwenye coin nyingi kama vile shiba inu,luna,doge,bttc kwa kudai kwamba hizi zote kwa miaka mitano mbele hawezi kukosa zote.
Je, hili ni wazo zuri mtu kuwekeza pesa ambayo ata afford kuipoteza katika sarafu zaidi ya moja?
Naomba kuwasilisha.