Top kwenye list ndio za kufanyia kazi.Nilishawahi kukutana na mtu akaniambia kwamba yeye anawekeza kwenye coin nyingi kama vile shiba inu,luna,doge,bttc kwa kudai kwamba hizi zote kwa miaka mitano mbele hawezi kukosa zote.
Shukran mkuu.Top kwenye list ndio za kufanyia kazi.
===
View attachment 2242435
===
Umakini uwe mkubwa, tumia LUNA kama mfano hai.
Amina mkuu.Pamoja sana mkuu.
Acha watu tusubiri neema ya RENEC