Ni busara nzuri sana lakini isiwe mara kwa mara kwani inaweza kumfanya mwanaume ahisi kuwa penzi lake haliko salama. Inapendeza zaidi katika hali ya kusumbuliwa mara kwa mara na huyo mwanaume aliyemtongoza hapo inakuwa busara zaidi kwa mwanamke kumueleza mwanaume wake ili kuepusha madhara yanayoweza kutokea endapo akiendelea kukaa kimya na sio tu kila akitongozwa kidogo basi amwambie mwanaume wake,hii haipendezi sana na chakufanya pindi hali hii inapotokea ni kumpa ushirikiano mwanamke ili aondokane na kero hiyo kwani kwa kukaa kimya baada ya kuelezwa tatizo kama hilo yaweza kuleta madhara makubwa kwenye huo uhusiano. Ushirikiano unaoweza kumpa ni pamoja na kuweka kimtego kitachofanya wote watatu mkutane kwa pamoja sehemu iliyosalama na kisha wewe kama mwanamume mweleze huyo jamaa madhara yanayoweza kumkuta kama ataendelea kumsumbua mwanamke wako pia kwa ujumla mweleze kuwa hiyo tabia si nzuri katika jamii na wengi yashawakuta mabaya kwa tabia kama hizo. Haina haja ya ugomvi mwoneshee ustarabu tu na ataacha!

Ushirikiano unaoweza kumpa ni pamoja na kuweka kimtego kitachofanya wote watatu mkutane kwa pamoja sehemu iliyosalama na kisha wewe kama mwanamume mweleze huyo jamaa madhara yanayoweza kumkuta kama ataendelea kumsumbua mwanamke wako pia kwa ujumla mweleze kuwa hiyo tabia si nzuri katika jamii na wengi yashawakuta mabaya kwa tabia kama hizo. Haina haja ya ugomvi mwoneshee ustarabu tu na ataacha!

Bucad wewe ni Mfalme wa hekima,Katika maisha haya ya kupita hakuna sababu ya kupigana kwa sababu hizo za kike! Ni busara tu kumwadibisha mwanaume huyo mtongozaji kihivyo.Lakini shida inakuja, HAWASEMI HAWA! Upenzi ulikuwa zamani, kwani sasa wanawake wanaangalia mshiko zaidi!!!

Katika hali ya kawaida ugomvi ni rahisi kutokea ukifanya hivyo. Hapa hata mtu anaweza kuuawa. Usifanye hivi kabisa
Ni muhimu aseme hasa kwa wale wenye kuishi mazingira ya kufanana kama kazini au mtaa mmoja,mwanamke asipokuambia ujue atamtafutia nafasi kummegea huyo jamaa.wanawake wana roho mbili.

kuambiwa inategemea na uyo mwanaume mwenyewe...

ay ikiwa mwanaume mwenyewe ngumi kiunon aipit wik ajadundana na wenzake...ata km ugomv hakuna ataenda kuukopa kwa jiran...vp jiran akuna mtu anayekuzingua nkamchape..AFU ET NDO UJIFANYE ..dia yaan john jaman anansumbua uyo...ahh sasa apo unataka nini?akidundwa mpk aumizwe ..polic..asi itakuwa ujinga mwsho wa siku

lakin km ukimwona jamaa mdiplomasi enough kumweleza jambo km ili ahh sio issue cz unajua atachukulia jambo kiutu uzima no ugomv no wat..

wengne ukiwaaambia tu beb yule tom wa voda kantongoza ahh inaanzia kwako ,...anakugecha vzuri..kwanini kakutongoza?mnajuana nyinyi ..mmeshndwana uko ndo unajifanya kuleta uzandiki wako apa...braa braa braa

SO ITS OL DEPEND NA UANAUME WA MWANAUME KTK KUCHUKULIA MWAMBO..UKIMWONA BADO MATURITY+USTAARABU neh ahh unanyamaza tu...

i do tellng him..na tunafanya km kichekesho tu ..isnt bg dil zaid ya kucheka bas...

nb; inakuwa ngumu kumwambia km kila siku anakufikiria vbaya unatoka na wanaume wengne..ajiamin yaan ahh mtu km uyu uwez kumwambia cz atachukulia sivyo like mshadinyana..

we kaka jaman ahh umenisoma apo juu?

soma tena kaka

NIMEKWAMBIA INATEGEMEANA NA UELEWA WA UYO MWANAUME....

mimi yap namwambia sana tu cz najua tempa yake ikoje+ananiamini ..so nikimwambia ni poa tu tunaishia kucheka tu....LAKIN KM NINGEKUWA NA BFREND KM WEWE NISINGEKUAMBIA..cz tempa yako ipo juuuuuu...

inategemeana na uelewa WA MTU THATS T.
Hata mimi huwa tunafanya utani, sometimes jamaa anaweza akapiga simu nikiwepo, ila hamna tatizo kama ukiwa unajua, ila nikigundua mwenyewe, hapo kwakweli ni ugomvikuambiwa inategemea na uyo mwanaume mwenyewe...
ay ikiwa mwanaume mwenyewe ngumi kiunon aipit wik ajadundana na wenzake...ata km ugomv hakuna ataenda kuukopa kwa jiran...vp jiran akuna mtu anayekuzingua nkamchape..AFU ET NDO UJIFANYE ..dia yaan john jaman anansumbua uyo...ahh sasa apo unataka nini?akidundwa mpk aumizwe ..polic..asi itakuwa ujinga mwsho wa siku
lakin km ukimwona jamaa mdiplomasi enough kumweleza jambo km ili ahh sio issue cz unajua atachukulia jambo kiutu uzima no ugomv no wat..
wengne ukiwaaambia tu beb yule tom wa voda kantongoza ahh inaanzia kwako ,...anakugecha vzuri..kwanini kakutongoza?mnajuana nyinyi ..mmeshndwana uko ndo unajifanya kuleta uzandiki wako apa...braa braa braa
SO ITS OL DEPEND NA UANAUME WA MWANAUME KTK KUCHUKULIA MWAMBO..UKIMWONA BADO MATURITY+USTAARABU neh ahh unanyamaza tu...
i do tellng him..na tunafanya km kichekesho tu ..isnt bg dil zaid ya kucheka bas...
nb; inakuwa ngumu kumwambia km kila siku anakufikiria vbaya unatoka na wanaume wengne..ajiamin yaan ahh mtu km uyu uwez kumwambia cz atachukulia sivyo like mshadinyana..
Akikataa anamwambia mpenzi wake; wale anaowakubalia nao anamwambia mpenzi wake? Kwanza kabisa kwa mke wa mtu kutongozwa na mtu ambaye anafahamu kuwa ni mke wa mtu ni dharau iliyovuka mipaka. Kabla ya kufikia hatua ya kumweleza mwenzi wake huyo mwanamke ajitafakari sana huyo aliyemtongoza anamwonaje wakati anajua ni mke wa mtu; akishapata jibu abadili tabia yake. Mazoea yanayopitiliza ndiyo yanayofikia kutongozwa mfano kupenda kuomba omba "Lunch, vitafunwa, soda, maji
nk"