Je ni busara kwa mpenzi wako kukwambia pindi atongozwapo? Utachukua hatua gani?

Kama anakwambia wakati anapowatolea nje wanaomtongoza, basi na siku akiwakubalia sharti aje akwambie
 

Kwa kawaida wanawake wanapenda ku-share na wenza wao kwa yale yanayowapendeza!!! Aidha, kwa kawaida wanawake kila siku hutongozwa; wakati mwingine zaidi ya mara moja kwa siku! So, endapo mara kwa mara anatongozwa lakini anakuambia moja tu kati ya zile nyingi alizotongozwa basi hapo juwa kuna jambo!!! Kama atakuambia wakati anapita mahala akakutana na jamaa fulani akamtongoza wakati wapo wengine wengi waliofanya hivyo na hakukuambia basi juwa kwamba hilo alilokujuza limemfurahisha hivyo angependa ku-share na wewe kile kilichomsuuza roho!!! Lakini, tatizo lingine hapo ni kwamba kv atakuwa amefurahishwa na kuwa na hisia juu ya kutongozwa huko; ni lazima kwa namna fulani atajihisi hatia na kutaka ku-confirm kama ua aware kwamba ametongozwa na kupata feelings kwa huyo aliyemtongoza!!! the best thing to do ni kwamba, u need to calm down; msikilize kwa makini na wala usioneshe kuchukizwa!!! Nakuambia, hawa dada zetu hawakawi kusahau waliyoyaongea japo wiki chache tu zilizopita!!! Ukiwa makini, siku au wiki chache baadae si ajabu akaja kukusimulia mambo mengine ambayo chanzo chake ni stori ya kutongozwa aliyowahi kukupa huko nyum,a!!!! LAKINI KUBWA ZAIDI; BE ALERTED!!!
 
<br />
<br />
duh, ushauri wako naukubali bt nahis umemiks venakula mf. Kugecha, dinyana!!
 
vipi kama mtu anayekutongaza ni rafiki/mshirika wa boyfriend wako, na anajua huko kwenye uhusiano, umpe punishment ya aina gani mtu wa aina hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…