Je, ni duka gani Kariakoo linauza friji nzuri za kisasa kwa bei nafuu?

Je, ni duka gani Kariakoo linauza friji nzuri za kisasa kwa bei nafuu?

TensorFlow

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
993
Reaction score
1,286
Sijawahi kununua friji, haya mambo ya corona sasa yananilazimisha. Naomba maelekezo, aina zipi za friji ni nzuri na naweza kupata mojawapo duka gani Kariakoo kwa bei nafuu? TZS ngapi?
 
Kuna uzi humu wa Aman mfaume nadhani utakusaidia upitie
 
Back
Top Bottom