Mkuu upo wapi ni pm nikujuze,maana mimi ni mtaalamu wa mambo ya radio za fm
Hahahaaa! Usione aibu unaweza kutiririka hapa ukapata Na mmichongo mingine!Mkuu upo wapi ni pm nikujuze,maana mimi ni mtaalamu wa mambo ya radio za fm
Hizi Ni dalili za utapeli sasa, pm Kuna nini?Mkuu upo wapi ni pm nikujuze,maana mimi ni mtaalamu wa mambo ya radio za fm
Ninaomba kujua kuhusu hilo wakuu.
Radio ni mojawapo ya biashara ambazo zinawafaa vijana kama wewe na mimi wandugu. Ninaomba unitafutie kampuni zinazofanya supply na kufunga vifaa na program scheduling za radio. Nina mfadhili amenishauri nitafute hiyo gharama kwa hapa Tanzania.