Samahani jamani mnaojua sheria naombeni msaada wa kimawazo. Mi nina kiduka changu,ninajitahidi kulipa TRA kila mwaka. Sasa nashangaa watu wa halmashauri yangu wanadai kuwa natakiwa kulipa ushuru kila mwezi sh 3000/. Je kisheria ni halali?
yeah, ni sawa. kuna kodi zinazotozwa na serikali kuu (central government) hizo zinakusanywa na TRA and zile zinatozwa na local government( nimesahau inaitwaje kwa kiswahili) mfano ndo hizo za halmashauri. hizo halmashauri zinatoza kodi ilikusaidia kujiendesha.
samahani naomba uniattachie hiyoTwins ...soma local government (( finance) Act ya 1982 as amended kisha soma sheria ndogo ya eneo lako husika(by Law) ...cess au service levy et al ni sahihi kwa myjibu wa sheria za nchi. cess au lwvy ni kati ya % 3 na 5%ya pato.
kwanini isiwe anaetoa tra asitoe local gov ili asijefanya double taxition..