View attachment 40245Duh, kama kweli anaumwa nampatia pole, lkn kama anachukulia mimba kama kigezo cha ku-dodge kazini kwa kuwahonga hao wanapjiita ma"Dr." ujue anajiharibia - hakuna mwajiri anayependa mtumishi mvivu. Wanaweza kutafuta kila njia il wamwachishe kazi hata kwa kumtega ili afanye kosa then wale kichwa kisheria! Awe makini.Kisheriawanaweza kuwa sahihi au wanakosea wanapomkata salary, inategemea HPI (history of presenting illness) yake! Ah, sorry, nilifikiri niko hospitali nam-attend mgonjwa! I meant inategemea na undani wa case yake (details zaidi zinatakiwa kuweza kumshauri).Refer: Employment and Labour Relations Act, 2004; Part III (Employment Standards); Sub-part D (Leave);Section 32 (Sick Leave) and 33 (Maternity Leave.Mimi naona wako sahihi kama amekaa nyumbani kwa siku 63 za mwanzo ambazo mwajiri amemlipa 100% ya salary, akaongeza tena siku zingine (0-63 days = 126 in total) mwajiri amemlipa 50% ya monthly salary, provided kwamba hizo 0-63 days za pili hazigusi commencement ya maternity leave. Ambapo maternity leave ni 84 days. Akiendelea kuleta uzembe (kama anachezea ajira, WATAPIGA CHINI!). Someni sheria. Wanasheria watasaidia zaidi. I am not a lawyer, though I am among the BIG THREE in the world, (DOCTORS, Lawyers and Clergy)