je ni haki kula 2ndi.

Wadau nilikataliwa mimi jaman! nimekua nikilelewa na mzazi moja mama.na ht jina la baba ninalo2mia ni la ukoo wa mama.
 

nyie simmependana bwana oaneni tu ,maana mmeamua kufanya hivo wa akilizenu timamu,lakini ukataliwa sio sababu.
 
mmmhhh bwana incest ni dhambi
yaani umesha gundua ni ndugu yako
kaa mbali...
mbona dunia imejaa hivi mabint dam dam tafuta bwana
jaribu kuka mbali na huyo dada jaribu ku keep ur self very busy wit other things
so u would not think too much about her...
(Think outside the box coz i know u can )
take care.......
 
Kama ni muislam, sheria inakuruhusu.
 
.....Hii kitu kwa hapa kwetu inaonekana ni ajabu au niseme kimila hairuhusiwi. Ila kwa waarabu iwe muislam au mkristo hii haina shida kwao mtoto wa baba mkubwa kuoa mtoto wa baba mdogo.
 
Tafuna tu - Kama yule aliye"kuzaaa" amekukataa it implies kwamba wewe hapo kwa "Baba" yako mdogo unalelewa tu - kwahiyo anything that comes across pale go for it - hata "ndugu zako wa kike" - jut eat them
 
Tafuna tu - Kama yule aliye"kuzaaa" amekukataa it implies kwamba wewe hapo kwa "Baba" yako mdogo unalelewa tu - kwahiyo anything that comes across pale go for it - hata "ndugu zako wa kike" - jut eat them

poa mdau ngoja nijipange.
 

Hata mashoga nao walianza kujastify immoral behaviours namana hii sasa wanaita haki, kigezo cha kukataliwa na baba yako mwachie yeye ilimradi mama yako alikuhakikishia kuwa ni baba yako hiyo inatosha, acha upuuzi huo wewe, unakula damu yako
 

Kukataliwa na baba yako mzazi hakukupi ruhusa ya kuzini na mtoto wa mdogo wa baba yako mzazi (baba yako mdogo).
Mola anasema katika quran tukufu kuwa, "kugombana na watu kusikupelekeeni kutowafanyia uadirifu". Yaani hata ukigombana na jilani yako basi inatakiwa umpatie haki yake kama unayo, iwapo anakudai basi umlipe pesa zake.
Ushindwe na ulegee katika jina la bwana aliyenena na mtume mussa katika mlima sinai.

Ukibisha wee muangusege thambi thako mwenyeweeee!!!!!
 
daah!!:nono:achaaa kabisaaa hiyoo ni laaaanaaaaaaa,tenaa usifikirie hiyo kitu tenaa:nono:
 
nia ya kuoa au kuchakachua?
 
usiguse wala usijaribu kwani ni dhambi sana,huyo ni dada yako hata kama wamekukana ila najua dhamira yako inakuhakikishia kuwa wewe ni kaka yake.Mwache baba yako achukue hiyo dhambi yake ya kukukana ,na wewe usijiingize kwenye laana zaidi.
mbona kuna wasichana wengi tu? kimbia hiyo dhambi na MUNGU atakusaidia
 
muulize shangazi yako kwanza, hii mambo iko na protoko
 

ulishawahi kucheza ule mchezo wa kitoto wa kula mbakishie baba????
 
Yaani ktk kuzurula kwako kote hujaona msichana zaidi ya huyo dada yako? Hebu achana na hizo fikra chafu. Nenda katafute wasichana wamejaa tele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…