Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
Ndio ni haki!!
haki au si haki inategemeana
kama ni yule wa pub ya jirani
mtafutie kidumu ndo dawa yake lol
Tafsiri ya neno HAKI ni kutenda,kufanya,kupewa kitu au jambo ambalo unastahili!
Cjaona bado kidumu mwache ajifehedheshe niko na kadaughter kangu kila nikimwangalia nina sababu ya kua na amani na ananifariji na ninajiamini mi ni mzuri like ma id
Kwa hiyo mtu anayemfanyia hivyo mke wake anampa haki yake
Kagua kama unastahili ama la!
Saa 8 mbona anawahi sana kurudi nyumbani, pita siku moja pale Corner Bar Sinza saa 11 Alfajiri ndio utajuwa kama mumeo anawahi au anachelewa!!
Tips: Bia huwa inaongezeka utamu kuanzia mida ya saa 6 usiku, kama unajuwa jinsi ya kumuhandle mumeo basi siku nyingine hata kutoka nyumbani atakuwa hatoki, jitazame mwenyewe kwanza unawajibika ipasavyo kama mama mwenye nyumba?
Haki gani
lol...wanaume wenyewe wakirudi wamenuna na sababu kibao ili wasiulizwe kitu au ndo mnawapata wa kuwalowazeni