Je? ni haki???

Je? ni haki???

Dr.Mwakasege

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Je, kuna sheria gani ambyo itatumika pindi mvulana akimpa mimba msichana ambaye alikuwa akisubiri matokeo lakini akafeli?
 
Msichana au mvulana akimaliza shule anakuwa sio mwanafunzi. Hivyo kama msichana amepata au kupewa mimba akiwa amemeliza shule hakuna kosa lolote kwa mvulana kwani huyo siyo mwanafunzi. Hata kama angefaulu sio kosa kwakuwa mimba aliipata akiwa sio mwanafunzi.
 
Back
Top Bottom