Msichana au mvulana akimaliza shule anakuwa sio mwanafunzi. Hivyo kama msichana amepata au kupewa mimba akiwa amemeliza shule hakuna kosa lolote kwa mvulana kwani huyo siyo mwanafunzi. Hata kama angefaulu sio kosa kwakuwa mimba aliipata akiwa sio mwanafunzi.