Duh nimefurahia haponimekukubali mkuu.
technically, mwanmke hana ruhusa ya kunyima mzee gemu, na anatakiwa kulia hata kama haumii wakati wa gemu, ndio maisha bwana msilete mambo ya haki sawa za beijing!!!!!!!!!!!!!!
.....:kwa mfano umembore/umemkosea mwenza mf. umerudi late with no reason au umemkosea tu kwa kosa la kawaida ambalo ana haki ya kuchukia.
Ukifika kwa bed ukawa unahitaji kile chakula akigoma kwa sababu ya uliyomfanyia: Je ni sawa?
Wapwa mnasemaje juu ya adhabu hii? (kwa wote)
...hutafeel offended?
GM7 mbona nipo mie? Heri ya mwaka mpya my dia
Ni kweli sababu zipo but sometimes huwa hamzisemi mnasingizia tu pombe au unakuta mtu anarudi late akiulizwa ni mkali na kejeli juu sasa hasira si zinamzidi wife? Bado hatakiwi kumnyima? Suppose wife amekukuta unamchuchua dada wa kazi live, akikasirika hana haki ya kukunyima? (kumchuchua ni kumchokoza kimahaba)
it is unfair bro!Mi namshukuru Mungu kwa kuninyima uvumilivu! Game lazima acheze! Na kwa hasira siku akiwa kwenye joto anahitaji huduma, mtarimbo unaweka mgomo. Sijui atauamshaje bila hiari yangu?