FrankLutazamba JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 448 Reaction score 409 Sep 21, 2020 #1 Jamani bado sijui ikiwa Upupu ni haramu au la! Maana kuna mitaa kuna wapiga roba maarufu, sasa tusio na vibali vya kumiliki silaha tunaruhusiwa kuumiliki kama njia moja wapo ya kujihami kwa tunaojua kuutumia?
Jamani bado sijui ikiwa Upupu ni haramu au la! Maana kuna mitaa kuna wapiga roba maarufu, sasa tusio na vibali vya kumiliki silaha tunaruhusiwa kuumiliki kama njia moja wapo ya kujihami kwa tunaojua kuutumia?