Shujaa Nduna JF-Expert Member Joined Sep 8, 2022 Posts 599 Reaction score 487 Oct 29, 2022 #1 Mchango wowote wa maendeleo,mf kujenga maboma,kufyatulisha tofali na kazi nyinyingine za kiserikali iwe ktk kijiji,mtaa,kata au wilaya je ni halali kuchukuwa mchango wa mwananchi bila kumpa risiti ya kiserikali?
Mchango wowote wa maendeleo,mf kujenga maboma,kufyatulisha tofali na kazi nyinyingine za kiserikali iwe ktk kijiji,mtaa,kata au wilaya je ni halali kuchukuwa mchango wa mwananchi bila kumpa risiti ya kiserikali?