St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
safi sana ...jamaa kajihhami bado mapema..:teeth:
Hii imemtokea dada mmoja na kaja kwangu kunisimulia na kilio juu,anasema baada tu ya ndoa yao wakiwa honeymoon jamaa akamwambia tumefunga ndoa sasa,mimi na wewe ni wazima hatuna ugonjwa wowote wa zinaa kwa hiyo ikitokea tu tukapata gonjwa lolote la zinaa basi lazima utakuwa umelileta wewe maana mimi najijua ni mwaminifu,sasa binti ananiuliza ndoa ataiweza kweli kwa biti hilo alilopigwa na jamaa?
Mi naona jamaa alichokifanya ni sahihi kabisa na kama ameanza kulamika kwa Jamaa na marafiki kuhusu maisha yao ya Ndani basi hatoshi na ndio maana jamaa amejihami mwanzo.Na wewe amekusimulia una uhusiano gani naye? Au usikute wewe ndio walale mnajifanya washauri uchwara huku mnamega
Baba mie simo humo nimefunga nadhiri ya kutowagusa viumbe hawa mpaka nitakapotimiza malengo yangu kimaisha na sasa namalizia mwaka wa tano sijachakachua.Na hilo ndio lililo msukuma mtoto wa watu kuja kwangu kuomba ushauri kwani ananiamini kuliko kiumbe yeyote hapa duniani.
heheheeeee,siku ukiachia utajaza ndoo na kidumuBaba mie simo humo nimefunga nadhiri ya kutowagusa viumbe hawa mpaka nitakapotimiza malengo yangu kimaisha na sasa namalizia mwaka wa tano sijachakachua.Na hilo ndio lililo msukuma mtoto wa watu kuja kwangu kuomba ushauri kwani ananiamini kuliko kiumbe yeyote hapa duniani.
Baba mie simo humo nimefunga nadhiri ya kutowagusa viumbe hawa mpaka nitakapotimiza malengo yangu kimaisha na sasa namalizia mwaka wa tano sijachakachua.Na hilo ndio lililo msukuma mtoto wa watu kuja kwangu kuomba ushauri kwani ananiamini kuliko kiumbe yeyote hapa duniani.
Hii imemtokea dada mmoja na kaja kwangu kunisimulia na kilio juu,anasema baada tu ya ndoa yao wakiwa honeymoon jamaa akamwambia tumefunga ndoa sasa,mimi na wewe ni wazima hatuna ugonjwa wowote wa zinaa kwa hiyo ikitokea tu tukapata gonjwa lolote la zinaa basi lazima utakuwa umelileta wewe maana mimi najijua ni mwaminifu,sasa binti ananiuliza ndoa ataiweza kweli kwa biti hilo alilopigwa na jamaa?
Biti la namna hiyo inawezekana ana doubt tabia ya mkewe, ingawa na yeye anatakiwa asimnyoshee kidole mwenzake!!!
Aaaahh wapi, hivi mnajua defence mechanism kwa kina???
Kwa taarifa yenu haya ni maandalizi ya usaliti bila lawama....
hii imemtokea dada mmoja na kaja kwangu kunisimulia na kilio juu,anasema baada tu ya ndoa yao wakiwa honeymoon jamaa akamwambia tumefunga ndoa sasa,mimi na wewe ni wazima hatuna ugonjwa wowote wa zinaa kwa hiyo ikitokea tu tukapata gonjwa lolote la zinaa basi lazima utakuwa umelileta wewe maana mimi najijua ni mwaminifu,sasa binti ananiuliza ndoa ataiweza kweli kwa biti hilo alilopigwa na jamaa?