Umepotea sana, shule za seminari ni maalum kwa kuandaa makasisi tu, wanawachuja vijana tangu wadogo, hadi wachache wanaobakia kama baada ya miaka 10 au zaidi ya levels za masomo ya dini na kijamii ndo wanakuwa makasisi. Haiwezekani kufundisha kijana wa dini ingine kuwa kasisi wa dini ingine. Maana ya seminari ya kikristu ndio hio, pia ujue mchujo hauanzii hapo, hao wavulana hutakiwa kuwa wanajulikana makanisa wanayotoka na viongozi husika lazima waandike referal. Ila hao vijana wa dini zingine wanaweza kusoma shule zingine ambazo si seminari, hata sie wenyewe tunazitamani ila kama huna wito wala lengo la kuwa kasisi uongo utakuwa unakusuta siku zote