Je, ni halali mtoto kufanana asilimia 100 na mjomba ambaye sio mmoja wa wazazi wake?

Je, ni halali mtoto kufanana asilimia 100 na mjomba ambaye sio mmoja wa wazazi wake?

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Habari zenu. Bradha wangu kazaa na mwanamke fulani lakini mtoto hafanani hata kidogo na wazazi wake. Au tumelizwa?
 
Habari zenu. Bradha wangu kazaa na mwanamke fulani lakini mtoto hafanani hata kidogo na wazazi wake. Au tumelizwa?

Wewe au ninyi mna uhakika gani kuwa mtoto hafanani na wazazi?

Je ninyi ndio mliomleta huyo mtoto hapa duniani?
 
Inawezekana mmelizwa huko hospitali. Nendeni mkapime DNA ndio njia pekee ya kutatua tatizo hilo.
 
Mkuu watu8, yaani huyo mtoto mwili mzima amefanana na mjomba yake ndo hapo tunahisi vibaya. Inawezekanaje?
 
Last edited by a moderator:
unataka afanane na wazazi wake ili iweje?
 
ni kweli anaweza kuchukua baadhi ya vitu kwa wajomba,mabibi/mababu, n.k
kwa wazazi wake labda akachukua vichache sana,hata sauti haifanani na wazazi wake?.....lolest
 
kama na huyo mama wa mtoto ni changudoa hilo linawezekana, Crispin Nyoni malaya hana udugu.
 
Last edited by a moderator:
Mbona mie watoto wangu wote wanne wamefanana na mjomba wao! au unataka kusema nimezaa na mdogo wangu tena wamwisho??
 
Mkuu watu8, yaani huyo mtoto mwili mzima amefanana na mjomba yake ndo hapo tunahisi vibaya. Inawezekanaje?

kama mtot ni chotara na mjomba ni mwarabu basi mna haki ya kuwa wasiwasi ila kama mjomba ni mmatumbi, aisee mi sioni shaka yoyote...
 
Ww huna akili sasa ndo unataka kusema huyo mwanamke kafira*a na kaka ake achani ujinga ww nafamilia yenu
 
Habari zenu. Bradha wangu kazaa na mwanamke fulani lakini mtoto hafanani hata kidogo na wazazi wake. Au tumelizwa?

kapimeni DNA nyie wanawake siku hizi nooma
mtoto lazima afanane na wazazi wake wawili tukubali tukatae
 
Back
Top Bottom