Je, ni halali Rais mgombea kuteua Tume ya Uchaguzi itakayomtangaza yeye?

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,500
Kwa mujibu wa katiba, Tume ya Uchaguzi ambayo ndio inayotoa uhalali wa Mamlaka ya watawala, inateuliwa na Rais, je kimantinki na kiuhalisia ni sawa Rais ambaye naye ni mmoja wa wagombea atakayewekwa kwenye mamlaka na Tume hiyo awe na mamlaka ya kuiteua" Sheikh Issa Ponda

Kwa mujibu wa katiba, Tume ya Uchaguzi ambayo ndio inayotoa uhalali wa Mamlaka ya watawala, inateuliwa na Rais, je kimantinki na kiuhalisia ni sawa Rais ambaye naye ni mmoja wa wagombea...
Siyo halali hata kidogo. Hii ni mojawapo ya sababu za kudai katiba mpya.
 
DAWA TIBA YA HILI JANGA NI ... KATIBA MPYA!!

yaani siye kazi yetu kuwagonga matakotu tunasonga mbele nyie endeleeni kudai katiba mpya
Sema kazi yako ni kumwagiwa upako kwenye makalio yako basi mana huna akili we dada
 
Ndio maana kila anayedai Katiba mpya anafungiliwa Kesi ya Ugaidi. Maana anahatarisha maslahi ya muhimu kama haya
 
Kwa mujibu wa katiba, Tume ya Uchaguzi ambayo ndio inayotoa uhalali wa Mamlaka ya watawala, inateuliwa na Rais, je kimantinki na kiuhalisia ni sawa Rais ambaye naye ni mmoja wa wagombea atakayewekwa kwenye mamlaka na Tume hiyo awe na mamlaka ya kuiteua" Sheikh Issa Ponda

Ni Ujinga uliopitiliza ujinga wote, hili linawezekana Bongo ambapo kuna suppression of freedom of speech
 
Kwa mujibu wa katiba, Tume ya Uchaguzi ambayo ndio inayotoa uhalali wa Mamlaka ya watawala, inateuliwa na Rais, je kimantinki na kiuhalisia ni sawa Rais ambaye naye ni mmoja wa wagombea atakayewekwa kwenye mamlaka na Tume hiyo awe na mamlaka ya kuiteua" Sheikh Issa Ponda

Sisi hatuna uchaguzi tuna maigizo tupu na kupiga pesa za watu
 
Mambo kama haya ndio mana kunahitaji kuu la kulazimisha kupatikana kwa KATIBA MPYA

1638958457551.png
 
wanasema nchi inaamani iko huru.. sasa mambo haya kuzuia wananchi kukutana UOGA HUU WA POLISI wanautoa wapi wakati nchi ni AMANI TUPU?
 
Kwa mujibu wa katiba, Tume ya Uchaguzi ambayo ndio inayotoa uhalali wa Mamlaka ya watawala, inateuliwa na Rais, je kimantinki na kiuhalisia ni sawa Rais ambaye naye ni mmoja wa wagombea atakayewekwa kwenye mamlaka na Tume hiyo awe na mamlaka ya kuiteua" Sheikh Issa Ponda

Ulitaka aiteue tume afu imtangaze nani mshindi?
 
Kwa mujibu wa katiba, Tume ya Uchaguzi ambayo ndio inayotoa uhalali wa Mamlaka ya watawala, inateuliwa na Rais, je kimantinki na kiuhalisia ni sawa Rais ambaye naye ni mmoja wa wagombea atakayewekwa kwenye mamlaka na Tume hiyo awe na mamlaka ya kuiteua" Sheikh Issa Ponda

Tanzania ni lazima kwa sababu hatutumii katiba ya nchi.
 
Back
Top Bottom