Habari wakuu, naishi na mdogo wangu. Mara ta mwisho kuongea MP nilikuwa tarehe 20.11.2015. mpka sasa hajapata MP. nilimpima kwa kutumia UPT ikasoma positive. amefurahi maana alikuwa a natamani sana mtoto. tatizo anasikia hali ya kuingia MP tumbo linavuta kwa ndani na anapata maumivu kama anayetaka kuingia ktk siku zake. Je hii ni hali ya kawaida ndugu zangu au kuna shida. msaada wenu tafadhali. Natanguliza shukrani