Je, ni hatua zipi za kufuata ili kupata cheti kinachotolewa na NACTE kama nimepoteza?

Je, ni hatua zipi za kufuata ili kupata cheti kinachotolewa na NACTE kama nimepoteza?

Masunula

Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
98
Reaction score
95
Je, ni hatua zipi za kufuata ili kupata cheti kinachotolewa na nacte kama nimepoteza?
 
Wasiliana na NACTE wenyewe wakupe hatua za kufuata.
 
Ikiwezekana nenda jijin ukakutane na ndalichako mwenyewe hakupe muongozo...
 
Anza na kupata loss report police, tangaza gasetin, then andika barua necta ukiambatisha loss report na tangazo la gazetimi
 
Back
Top Bottom