Je ni ipi faida ya kuwa katika huu ukurasa wa jamiiforums

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Kwanza nitangulize samahani na pia wasinichukulie vibaya wahusika wa jamiiforums.

Kikubwa ni kutaka kujua ni kivipi mimi naweza kufaidika na kuwa katika huu ukurasa je kuna reward yoyote naweza pata au kitu chochote ambacho kinaweza kunivusha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
 
Unataka JF ikulipe mshahara?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…