Je, ni kahawa au migomba?

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
375
Reaction score
410
Wakuu poleni na pilika za kutwa

Hongereni sana kwa kumaliza siku salama,

Naomba kuuliza ni wapi kuna mashamba ya bei rahisi yanayostawi kahawa na migomba?

Ambayo hayana ukame sana natamani nikifikisha miaka 35 au 40 niachane na kuajiriwa rasmi.

Kwa nini natafuta ya Bei rahisi?

N kwa sababu natamani kuchukua shamba kubwa kias mfano hekari 100 au 200

Naombeni mchango wenu wa mawazo.

Napokea ushauri pia karibuni sana
 
Amkaaa kumekuchaa shekh.....usijee ukaona choo kwenye ndoto mtego huo sheikh.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…