Je ni katika hali gani ulikosa kitu unachokipena , halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi kweny maisha yako.

Accumen Mo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2022
Posts
18,036
Reaction score
39,882
Amani iwe na nanyi!

Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi.

Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ".

Niongezee, kuna wakati tunavunjika moyo baada ya kupoteza kitu tunachokipenda then tunaenda kwingine baada ya muda tunakuja kugundua hapa ndo penyewe yaani unajikuta una furaha na kupata mafanikio kupitia sehemu mpya.

Mfano Mimi👇

Mwaka fulani baada ya kumaliza form four ,tulisubiria selection za shule za advance huku tukipiga msuli ma-topics kibao ya combination fulani ya sayansi maana ndo zilibalance ..Tukiangalia na shule tulizojaza na mshkaji tunaona hapa hatari sana tunafika mbali.

Bahati mbaya, selection zinatoka tumechagulia combination nyingine nipo na msela halafu wenetu wamepigwa zile combination za maana ,utani wa hapa na pale mchizi akaniambia tuhamie shule fulani .

Basi nikamwambia mzee kuhusu swala zima ,mzee aisee akasema "Hiyo ndo riziki yako siwezi kukuhamisha kwa vile hata hiyo combination masomo umefaulu vizuri" ...Aisee nilipata uchungu na hyo shule ipo wilaya ina baridi kinoma na hatari .

Mchizi wangu tulienda ripot yeye akiwa anatafutiwa shule ahamie ,bahati mbaya nae akakosa mzee wake na wangu wakaungana maana ni majirani kutusihi tusome hivyo hivyo ndo riziki yetu.

Baaada ya kuendelea na ile combination 👇
Mi na jamaa tulienda chuo kimoja hapa nchini wale wenzetu baadhi pale six walikula three za mwisho na kuanza kusoma diploma wengine zero kabisa ila wapo walipiga mpaka chuo ila ajira walikosa mpaka leo ni watu wa kujitolea.

mwaka mmoja baadae mimi niliajiriwa serikali taaasis fulani na jamaa nae akapata shavu taasisi fulani na alishaenda mpaka nje kuhusu ishu za kikazi.

Wale wenzetu ndo hawa wanapigishana kelele na Tamisemi wawili ni walimu ila ndo hivyo wanalalamika mishahara ni midogo.
 
Kuna mwanamke aliwahi kuniacha kwa kiburi na dharau, nami nkahisi kwamba maisha yamefikia mwisho kabisa. Nkajua sitopata mwingine kabisa.

Lakini baada ya muda kidogo nlipatana na mwingine.
Aseh yule wa mwanzo namuona kama alikuwa ananizibia njia ya kukutana na wataalamu wa haya masuala.
 
Hapa ndo ninapoamini kitu kama sio riziki yako hakiwezi kuwa chako ...

Ndo uhalisia wa maisha hayo
 
Wife alikula pesa ya kujifungulia nkiwa nmeumia mguu npo tu ndani kazi sifanyi kama masihara tu uchungu ukamshika gafla nmejilaza nakuja kustuka kichwa cha mtoto hiki hapa wakuu nilimzalisha mimi mwenyewe bila kuvaa mipira mpaka leo najiulizaga kama nisingeumia mguu ingekuaje hiyo siku angetoa wapi msaada
 
Kuna baadhi ya vitu kama viko scripted yaani dunia acha tu .
 
Nlipomaliza primary mwana sikuuma chochote nlifeli balaa, Mzee hakuwa na Hela akahonga vijisenti nkaenda sekondari shule ya girls aisee kisa umaskini .
Wenzangu wengi waliofaulu walinitema enzi zile Ila Nina mshkaji pia kwao hawakua na kitu ,tulisomea pale the only boys Ila hatukuwa boarding tulipiga day tu ,jioni na nguo zetu zinazosoma girls school mpaka home.
Sekondari nyota ikatukubali mie na mshkaji tulipass Sana ,onwards tulichukuliwa direct entry law school UDSM, LST vilevile tukaua , mshkaji alipata job mbele yangu hakunitupa ,alikodi nkakaa kwake mwaka na nusu mpaka nikapata line .
Leo hii tupo neighbours mbezi , tulimake it
This life ni fumbo ,usivunjike moyo Leo yako ,kesho ramani ipo na mungu .
(Mind you huyu mshkaji tulihustle Sana mpaka tulipiga boda then tukisoma ,mpaka tumefua nguo kisa Hela )
Ni ndugu kuliko wale nlizaliwa nao .
God Did!!
 
Amani iwe na nanyi!

Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi.

Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ".

Niongezee, kuna wakati tunavunjika moyo baada ya kupoteza kitu tunachokipenda then tunaenda kwingine baada ya muda tunakuja kugundua hapa ndo penyewe yaani unajikuta una furaha na kupata mafanikio kupitia sehemu mpya.

Mfano Mimi[emoji116]

Mwaka fulani baada ya kumaliza form four ,tulisubiria selection za shule za advance huku tukipiga msuli ma-topics kibao ya combination fulani ya sayansi maana ndo zilibalance ..Tukiangalia na shule tulizojaza na mshkaji tunaona hapa hatari sana tunafika mbali.

Bahati mbaya, selection zinatoka tumechagulia combination nyingine nipo na msela halafu wenetu wamepigwa zile combination za maana ,utani wa hapa na pale mchizi akaniambia tuhamie shule fulani .

Basi nikamwambia mzee kuhusu swala zima ,mzee aisee akasema "Hiyo ndo riziki yako siwezi kukuhamisha kwa vile hata hiyo combination masomo umefaulu vizuri" ...Aisee nilipata uchungu na hyo shule ipo wilaya ina baridi kinoma na hatari .

Mchizi wangu tulienda ripot yeye akiwa anatafutiwa shule ahamie ,bahati mbaya nae akakosa mzee wake na wangu wakaungana maana ni majirani kutusihi tusome hivyo hivyo ndo riziki yetu.

Baaada ya kuendelea na ile combination [emoji116]
Mi na jamaa tulienda chuo kimoja hapa nchini wale wenzetu baadhi pale six walikula three za mwisho na kuanza kusoma diploma wengine zero kabisa ila wapo walipiga mpaka chuo ila ajira walikosa mpaka leo ni watu wa kujitolea.

mwaka mmoja baadae mimi niliajiriwa serikali taaasis fulani na jamaa nae akapata shavu taasisi fulani na alishaenda mpaka nje kuhusu ishu za kikazi.

Wale wenzetu ndo hawa wanapigishana kelele na Tamisemi wawili ni walimu ila ndo hivyo wanalalamika mishahara ni midogo.
Still loading to this, I'm waiting for the both praying for the best!

Jamaa angu alienda Russia kachukua air craft engineering, possibility ya mimi pia kwenda huko military science miaka hiyo ilikuwepo ila I found myself I wasn't interested with the military any more, nikapiga chini zile issue!

ila huwa naamini kwa nature ya maisha ninayopenda Mimi kutokwenda kule ni good option though joto la jiwe pia nalipata haha

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom