Je, ni kawaida kwa mgomba kuzaa bila shina?

Je, ni kawaida kwa mgomba kuzaa bila shina?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Hii picha ni ya mgomba uliokatwa, halafu kesho yake tu ukazaa, ni kawaida hii?

24FEDE58-4A5E-4668-BE16-96E7A42A710E.jpeg
 
Mkuu njoo nkupeleke kwa mtaalam kuna watu wanakuchezea wanakujaribu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu njoo nkupeleke kwa mtaalam kuna watu wanakuchezea wanakujaribu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee huu mkungu nitaugawa bure kwa atakaeutaka
 
Awaida. Hata yale mashina unapoyapanda unashauriwa kutakata. Mgomba utatika pale katikati.
 
Kawaida sana hiyo mbona. Sema nyie vijana wa Kariokoo mna shida kweli, ungekuwa umeishi huku Marangu mtoni kwa bibi yako hata kidogo hata usingeona ajabu hata kidogo.
 
Hiyo picha ina funzo kubwa sana ila watu hata hawajaona hilo funzo![emoji205][emoji205][emoji205]

Nimeliona mkuu, haijalishi circumstances zikoje, tutatoboa tu katika life. Kama ipo ipo tu na itakuja tu iwe mvua liwe jua, uvumilivu ndio ngao. There is always a way
 
Back
Top Bottom