FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Aisee huu mkungu nitaugawa bure kwa atakaeutakaMkuu njoo nkupeleke kwa mtaalam kuna watu wanakuchezea wanakujaribu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haaaaa staki aiseeAisee huu mkungu nitaugawa bure kwa atakaeutaka
Ujue hata wakifanya genetic modification kuanzisha kitu amacho hakijawahi kutokea, wavivu wa kufikiri watasema uchawi.Yani ukatwe leo,kesho tu uzae??haya maajabu.
Kiranga njoo uone sasa uchawi wenyewe.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Hiyo picha ina funzo kubwa sana ila watu hata hawajaona hilo funzo![emoji205][emoji205][emoji205]