Je, ni kawaida mwanamke aliye kwenye hedhi kutokwa damu kidogo sana?

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
1,031
Reaction score
2,186
Kwa wadada ambao mnapitia hili

Iv nikawaida msichana kuingia kweny siku zake na kutoka vidamu kidogo sana

Nanukuu " vidamu kidogo sana kama mate" mwisho wa kunukuu

NAULIZA HII NI KAWAIDA AU KUNATATIZO
 
Inategmea na umri pia. Kama ni kat ya 14 to 18 inakuwa na mabadiliko ya kimaumbile ambyo ni kwaida kwa watoto wa kike hasa wanaochelewa kuvunja ungo au ndyo wameanza kufanya mapenz.

Ila above that inakuwa ni hormonal imbalancement.
 
Oky so sii tatizo kubwa
Inategmea na umri pia. Kama ni kat ya 14 to 18 inakuwa na mabadiliko ya kimaumbile ambyo ni kwaida kwa watoto wa kike hasa wanaochelewa kuvunja ungo au ndyo wameanza kufanya mapenz. Ila above that inakuwa ni hormonal imbalancement
 
Anamiak 23

Kwa asilimia fulani kuna ambao wakitumia haya madawa ya uzazi wa mpango huwa hivo

Wengine hawablid kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…