elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,464
Mkuu nenda na million 500 kwenye begi benki ukaweka pesa uone watakavokuweka chini ya ulinzi pale pale ,huku wakitaka utoe maelezo aliyonyooka hizo pesa umetoa wapi [emoji28][emoji28][emoji28]Hakuna benki inayomhoji mteja anapodeposit
Unaandika kitu unachokijua au ulichosikia? Siyo kazi ya benki kumhoji mteja alipopata pesa. Nimefanya kazi benki flani kama DSE, nimefungua sana akaunti na watu walitupia mizigo mizito kuliko hiyo 500MMkuu nenda na million 500 kwenye begi benki ukaweka pesa uone watakavokuweka chini ya ulinzi pale pale ,huku wakitaka utoe maelezo aliyonyooka hizo pesa umetoa wapi [emoji28][emoji28][emoji28]
Unaandika kitu unachokijua au ulichosikia? Siyo kazi ya benki kumhoji mteja alipopata pesa. Nimefanya kazi benki flani kama DSE, nimefungua sana akaunti na watu walitupia mizigo mizito kuliko hiyo 500M
Unaandika kitu unachokijua au ulichosikia? Siyo kazi ya benki kumhoji mteja alipopata pesa. Nimefanya kazi benki flani kama DSE, nimefungua sana akaunti na watu walitupia mizigo mizito kuliko hiyo 500M
Upo sahihi, bank huwa wanahoji kutoa pesa kubwa kwa mkupuo na sio kuweka
Trillions of the trillions, though you have to be with almost famous political leaders connection for your own human being security against the law execution, and that's only found in TZ over the whole world.
Unaandika kitu unachokijua au ulichosikia? Siyo kazi ya benki kumhoji mteja alipopata pesa. Nimefanya kazi benki flani kama DSE, nimefungua sana akaunti na watu walitupia mizigo mizito kuliko hiyo 500M
Acha Ubishi Mkuu, Enzi ya Maghufuri tu hapa kabla ya Uchaguzi kuna Watu walikuja kulia hapa JF.Unaandika kitu unachokijua au ulichosikia? Siyo kazi ya benki kumhoji mteja alipopata pesa. Nimefanya kazi benki flani kama DSE, nimefungua sana akaunti na watu walitupia mizigo mizito kuliko hiyo 500M
Ukitaka kuzichukua vikwazo vinakuwa vingi sana, hata sahihi yako mwenyewe unaweza ambiwa umeikosea au siyo yenyewe.Kuweka sio issue... Ila ukitaka kuzitoa mziki huwa inaanzia hapo.
Hamna tatizo ila kuwithdrawal utajuta process watakuhoji mpaka ujuteMkuu nenda na million 500 kwenye begi benki ukaweka pesa uone watakavokuweka chini ya ulinzi pale pale ,huku wakitaka utoe maelezo aliyonyooka hizo pesa umetoa wapi [emoji28][emoji28][emoji28]
Banks zinauliza source of big deposits ikiwa mwanzoni uli disclose source of funds itakuwa ni nini na Ni kiasi gani monthly au annually. Then all of a sudden ukaweka kinyume na ulichoelezea laziim wahoji. Ingawa cashier atapokea ataweka. Then kuna system inadetect ile amount unaweza after some days ndio ukapigiwa utoe maelezo. Na maelezo yako km hayajanyooka account yako yaweza kuwa blocked.Hakuna benki inayomhoji mteja anapodeposit
Labda km tangu mwanzo walieleza akaunti zao zitakuwa na Big deposits.Unaandika kitu unachokijua au ulichosikia? Siyo kazi ya benki kumhoji mteja alipopata pesa. Nimefanya kazi benki flani kama DSE, nimefungua sana akaunti na watu walitupia mizigo mizito kuliko hiyo 500M