Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hili naona wengi hatujuiNgoja waje kukupa muongozo...
Msaada wadau.nipo mbioni kiagiza bidhaa za chakula..raw material za kupikia vyakula hivi natakiwa kuwa nakibali kipi?.asanteni
Kuingiza nchini ku importMi sio fani yangu nimepita kusoma uzi tu, ila sasa umeandika kuagiza [emoji848]
Kuagiza inamaana kutoka nje ya nchi kuingiza Tanzania au Kuagiza kutoka Tanzania kwenda nje ya nchi ??
Kuingiza nchini ku import