Je ni kitu gani hukipendi katika Maisha yako

Je ni kitu gani hukipendi katika Maisha yako

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Je ni kitu gani hukipendi katika Maisha yako ?

Mimi Binafsi kitu sipendi ni Kuvunjiwa Heshima tu,
Ni bora unichakatie mpenzi wangu Kuliko kunivunjia heshima.

CC Zero IQ
 
Je ni kitu gani hukipendi katika Maisha yako ?

Mimi Binafsi kitu sipendi ni Kuvunjiwa Heshima tu,
Ni bora unichakatie mpenzi wangu Kuliko kunivunjia heshima.

CC Zero IQ
mdau wakimchakata mpenzi wako si sawa na kuvunjiwa heshima, au wewe unaonaje hapo
 
Kuulizwa mkopo
Hii tabia ndio sipendi kabisa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sipendi kumtumia mtu mwingine ili kujipatia sifa. Kama kumsema uongo na kumsingizia kuwa; Kaiba, kala rambirambi, kala michango flani. Huku sina uhakika mkamilifumkama kiasi alicho kwapua. Ni mbaya sana yaani ni kuua
 
Ukiwa huna hela hata mbwa watafanya mapenzi mbele yako maana hawakuogopi wala nini.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Back
Top Bottom