Mimi unafiki na kujipendekeza pendekezaJe ni kitu gani hukipendi katika Maisha yako ?
Mimi Binafsi kitu sipendi ni Kuvunjiwa Heshima tu,
Ni bora unichakatie mpenzi wangu Kuliko kunivunjia heshima.
CC Zero IQ
mdau wakimchakata mpenzi wako si sawa na kuvunjiwa heshima, au wewe unaonaje hapoJe ni kitu gani hukipendi katika Maisha yako ?
Mimi Binafsi kitu sipendi ni Kuvunjiwa Heshima tu,
Ni bora unichakatie mpenzi wangu Kuliko kunivunjia heshima.
CC Zero IQ
HahahahhaKama huna heshima utavunjiwa tuu heshima. Na heshima hailazimishwi inakuja yenyewe automatically. Kama mdogo wako anapesa kukushinda kwenye kikao cha ukoo utaletewa mirinda bila kuulizwa na mdogo wako ataulizwa unakunywa nn baba
Sent using Jamii Forums mobile app