Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Kuna wadau wanaamini katika uchawi mdau karibu utujuze je ni jambo gani lilikufanya uamini kuna uchawi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri wadau wajeHapa nakesha kusubiria koments......
Ingependeza zaidi wadau waelezee kwa kinaItapendeza sababu zako ziwe ni sababu ambazo nmzikuoneshe lazima uchawi upo, sababu hizo zisiwezekane kuwa zinatokana na kitu chochote kingine unachokijua au usichokijua, zithibitishe uchawi upo.
Aziz ki kuoza kwa mobetoKuna wadau wanaamini katika uchawi mdau karibu utujuze je ni jambo gani lilikufanya uamini kuna uchawi?
Situation ya ndugu yangu kushikwa na kichaa na kulekwa kwa mganga wa jadi ni dhahir tosha uchawi upomimi bado sijakutana na situation ya kunifanya niamini asilimia 100 kama uchawi upo, pia ukiangalia dalili nyingi za magonjwa ya akili na personality dissorder utagundua huenda mara nyingi ubongo unatengeneza matukio si tunaona kama ni uchawi
Uliona wapi watu wakichukuliwa msukuleMtu anapochukuliwa msukule na mafanikio kuonekana.
kwani ukichaa ni dalili ya kulogwa au uchawiSituation ya ndugu yangu kushikwa na kichaa na kulekwa kwa mganga wa jadi ni dhahir tosha uchawi upo
Alipigwa kipapaikwani ukichaa ni dalili ya kulogwa au uchawi
Wakati humu jf single maza wanapondwa kila siku.Aziz ki kuoza kwa mobeto
🤣🤣🤣Wakati humu jf single maza wanapondwa kila siku.