Je ni kosa kisheria kutumia alamu wimbo wa Taifa kama mlio kwenye simu?

Je ni kosa kisheria kutumia alamu wimbo wa Taifa kama mlio kwenye simu?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Habari zenu wanasheria wote? Pia poleni kwa majukumu ya kila siku.
Naomba kujua kama ni kosa kisheria kwa mtu kutumia sehemu ya mlio wa wimbo wa Taifa la Tanzania kwenye simu ya mkononi.
Naomba kufahamishwa hilo kwa kuwa wimbo wa Taifa ni sehemu ya naraka za Serikali, ila nimekuta kwenye tovuti moja kuna alamu ya wimbo wa taifa la Tanzania yenye urefu wa dakika 1. 12, nimependa kuitumia kama mlio kwenye simu yangu, ila naogopa nisijekamatwa kwa kosa la kuvunja sheria.
Nasubiri kwa hamu michango yenu.
 
Hakuna kosa hiyo inaonyesha ni jinsi gani unaipenda nchi yako mpaka umeamua kuweka wimbo wa Taifa kama ring tone. So huo ni uzalendo na utaifa uliotukuka sana
 
Back
Top Bottom