Imetokea mwalimu anayekusimamia research yako yupo busy sana, na muda alioupata leo yupo kwenye kazi maalum hotel fulani kubwa mjini hivyo anakwambia umfuate hotel upeleke research yako. Mwanafunzi ni mwanadada na mwalimu ni mkaka. Je hapo kitaaluma imekaa sawa?