Hakuna kosa kisheria unachopaswa na kuanzia kwa vehicle inspector atakupa fomu utaenda nayo TRA kubadili taarifa za gari kama jina la engine na serio namba za injini. But kuna gharama unalipia kadi inakuja na taatifa mpya usipofanya hivyo inakuwa kosa kisheria .. maana taarifa zinachengana