BB_DANGOTE
Senior Member
- Sep 25, 2023
- 167
- 148
Wakuu leo katika utulivu wangu nimefikilia kwamba bandari ni ni moja ya sehemu ambayo kwa kijana wa sasa anaweza kunufaika na ajira ya mapema kama akisomea kwa wakati huu ambapo Nchi yetu inapambana na kukuza uchumi wa blue lakini swali lililopo kichwani kwangu.
Je, ni kozi gani ambayo inaonekana itakuwa na uhutaji zaidi katika bandari miaka ijayo?
Naomba kueleweshwa juu ya huu mtazamo wangu na ufafanuzi wa kozi nzuri katika siku za usoni...
Je, ni kozi gani ambayo inaonekana itakuwa na uhutaji zaidi katika bandari miaka ijayo?
Naomba kueleweshwa juu ya huu mtazamo wangu na ufafanuzi wa kozi nzuri katika siku za usoni...