Je, ni kwa kiwango gani wahitimu (graduates) waliojiajiri wamefanikiwa katika shughuli (biashara/ujasiriamali) wanazofanya?

shilla de sam

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
8
Reaction score
3
Je, ni kwa kiwango gani wahitimu (graduates) waliojiajiri wamefanikiwa katika shughuli (biashara/ujasiriamali) wanazofanya?
 
Fanya utafiti uje na majibu ya swali lako.

Tumejiajiri na tunaendelea vzr, ila hatuelewi tuko wangapi
 
Je, ni kwa kiwango gani wahitimu (graduates) waliojiajiri wamefanikiwa katika shughuli (biashara/ujasiriamali) wanazofanya?
kwani kiwango cha mafanikio wewe unakipimaje? ili niweze kujibu swali lako.
 
nitakujibu hivi wakati bado unafikiria. ikiwa ujasiriamali huo au biashara hiyo inatatua moja au zaidi ya matatizo tuliyonayo katika jamii huko ni kufanikiwa. Lakini ikiwa una maana ya kwamba kifedha wamenufaika na wanachofanya ni ngumu kujua maana hii inahusisha mchanganuo wa fedha ambayo ni vigumu kuijua.
 
Back
Top Bottom