nitakujibu hivi wakati bado unafikiria. ikiwa ujasiriamali huo au biashara hiyo inatatua moja au zaidi ya matatizo tuliyonayo katika jamii huko ni kufanikiwa. Lakini ikiwa una maana ya kwamba kifedha wamenufaika na wanachofanya ni ngumu kujua maana hii inahusisha mchanganuo wa fedha ambayo ni vigumu kuijua.