FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nimeshtuka sana kuona hii video, kumbe madafu ni bidhaa unayoweza kuisindika na kuiuza ndani na nje ya nchi ikiwa fresh kabisa.
Inauwezo wa kutoa hadi ajira 10,000 kwa kiwanda kimoja, kuanzia kwenye mashamba hadi uuzajI.
Madafu sio lazima kuuza kwenye baiskeli, hata supermarket inawezekana.
View: https://youtu.be/vN6_APes0Kk?si=ZB6zhVFEP27aHUgw