Nimeshtuka sana kuona hii video, kumbe madafu ni bidhaa unayoweza kuisindika na kuiuza ndani na njee ya nchi ikiwa fresh kabisa, inauwezo wa kutoa hadi ajira 10,000 kwan kiwanda kimoja.., kuanzia kwenye mashamba hadi uuzaji…; madafu sio lazima kuuza kwenye baiskeli, hata supermarket inawezekana..
View: https://youtu.be/vN6_APes0Kk?si=ZB6zhVFEP27aHUgw