FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Watolewe kitabibu yaniDuuh we jamaa ...utolewe Kwa njia ipi
Wanang'ata sana saa ya kukata utepeUmewaza nini?
Tanzania ya Viwanda bye bye
We ni Mkewe wa mtoa mada au ?Mada ni Mada unapenda za viwanda anzisha nyuzi zako.
Mke wa mtoa mada nisamehe kwa kumjibu mumeo haya sasa ludi kwenye Kifua cha mmeo upumzike huku mkisoma comment zetu wana JFMada ni Mada unapenda za viwanda anzisha nyuzi zako.
Itaitwa ‘Surgical Defloration’ , hii hata Dr. J.J Mwaka anaweza hii..Hiyo huduma itaitwaje, v surgery au?
Kuna jamaa yangu hadi leo ana bonge la kovu la meno kwenye bega la kulia, tena angezubaa alikuwa anaondoka na nyama.., asa mtu unamsaidia halafu anakung’ata eti.., waende hospitali tu sasa , tumechoka kujeruhiwa..Wanang'ata sana saa ya kukata utepe
Hii ifanywe na ma Dr. wanawake tu.Huyu ni Dr mchongo kuna kesi ngapi madakitari waingilia wateja asa ikija hii si ndo justification
Hii ifanywe na ma Dr. wanawake tu.
Sijui hata huwa ninawezaje ila huwa hawaumii,vi damu kwa mbaali akifuta au vidamu visionekane kabisaaa ila anasema anahisi kama pamechanika wakati wa kukojoa mikojo ikigusa eneo lile.Kiaina umefikia ile tafakuri anakuwaga nayo mtu fudenge wangu, acha nimuweke kapuni eehehehehe.
Nimewaza namna wazo lako limekujia....🤔🤔🤔 kama wavulana wanatolewa govi hospitalini kwanini utepe usitolewe kitabibu hospitalini??
Kindu thi kindu, kindu ni mshombe..!!🤪🤪🤪.
Shughuli hapo sio kuuondoa ule utepe, shughuli ni kuitanua njia iwe tayari kupitisha gunzi teketeke.
Ile hifadhi ya mwanamke ni kama ngoma kwa ndani, namna unaipiga ndo namna inaimarika kutoa midundo kedekede na viuno vitakunjika tuu kukatika kulika kushoto mbele nyuma juu chini mradi tuu tafrani 😁.
NB:Ukiona kero acha wenzio wakutolee halafu wewe uwapate wakiwa tayari shwaaa mpaka uani 🙄🚶♀️🚶♀️🚶♀️. Kuna wanaozitafuta hizo chance za kukata utepe kwa udi na uvumba.
Sijui hata huwa ninawezaje ila huwa hawaumii,vi damu kwa mbaali akifuta au vidamu visionekane kabisaaa ila anasema anahisi kama pamechanika wakati wa kukojoa mikojo ikigusa eneo lile.
Nadhani ni pale ambapo huwa sina pupa,niko tayari zoezi lichukue masaa 10 lkn likamilike kwa ufasaha na kwa ufanisi.
Siku 2 baadae tutaendelea ila kwa mwendo wa kinyonga,mwendo kasi utaongezeka hasa siku zoezi likifanyika kwa mara ya tatu.
Huwa hawajutii kufanya uzinduzi na mimi Mnafiki Wa Kujitegemea.