Je, ni kwanini huduma ya kuondoa ‘Usichana’ haitolewi mahospitalini?

Ndio muache kung’ata watu wasio na hatia sasa, mbona wote tupo gentle tu..
 
Ndio muache kung’ata watu wasio na hatia sasa, mbona wote tupo gentle tu..
Wewe bint,mwanaume mimi sihitaji msaa wa tabibu ktk kutekeleza jukumu langu la kukata utepe.
Hivyo vivulana vyenu vikishindwa haraka sana mnione ili niwafungulie njia na wao wapate urahisi wa kuendelea.

KAMWE SIHITAJI MSAADA WA YEYOTE KATIKA UZINDUZI HUU.
 
Kasie kama Kasie, Le Maza Kubwaz, Le Shangaziz Mobimba
 
Umeshaolewa lakini?
 
Wasichana mabikira bnafc wamenishinda, nimeshapishana nao km wa4 hd sasa na wote niliwakatia tamaa wakaenda kisa tu ya ubanaji wao . Round hii nimeopoa mwngne wa First Year chuo fulani lkn na yeye analeta pigo za usista wa kikatoliki na kudai kunituku hd ntakapomuoa( Yani swaga km Hz ndio znazonikatashaga tamaa km)
 
Kuna wengine hawawezi kuzitoa vzr zikamalizika vzr..hivyo hospital ndo wanamalizia..
 
Mda mwingine maumivu ndo utamu wenyewe badala ya vigori kwenda huko kwanini jando zisirudi na wanaume wafundishwe namna ya kukata utepe wenyewe
 
Komenti imeshiba hii,imejibu vzur na uzi ufungwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je, huduma hii ikianzishwa mahospitalini, wasichana wataichangamkia?

—————————————————-
Kitaalam huduma hii itaitwa ‘Surgical defloration’
Anza na binti yako ndio ulete mlejesho
 
Huko hospital tukiumwa flu tu dr anaforce kupima shingo ya kizazi cancer ili achungulie mpododo ndo anitoe bikra si watu watarudi na mimba 🤣😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…